Bukobawadau

HII LEO IBADA YA IJUMAA YA TATU YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI

Waumini wakiwa katika Ibada ya Ijumaa i
Sheikh Yusuph ambaye ni imamu wa msikiti wa Jamia akitoa mawaidha .
Wauminikatika hali ya unyenyekevu kuakikisha wanafuzu.!


 Baadhi yawaumini baada ya swala.
 Waumini wa kiislam wakitoka msikitinileo baada ya swala ya Ijumaa.

Baada ya Ibada  umefanyika mnada wa vyakula kwa ajiliya kuchangia madarasati  faudh iliopo mjini hapa
Muumini ameweza kuchangia kwa kununua kiazi kikuu kwa thamani ya shilingi elfu kumi
HAPARI MATUKIOKUPITIA BUKOBAWADAU BLOG.
Next Post Previous Post
Bukobawadau