LIBENEKE LA MDAU MZALENDO BEN MULOKOZI
Camera yetu inakutana na Mdau mzalendo Ben Mulokoziakiwa kapumzika katika pozi ndani ya hotel ya Victoriaus iliyopo mjini hapa.
Pasipo na shaka anashushia mbili tatu na anasema hajawahi kupata wasiwasi!!!
Uku akiperuzi na kitu cha Samsung Galaxy S G4 na hayo ndio maisha yake!!!
Akifuatilia television anaonekana kufurahishwa na mahamuzi mazito ya Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Kagasheki.
Kitendo bila kuchelewa akaongea na simu.
Pembeni yupo Mdau Basibila anaonekana kutabasamu baada yaa kuvutiwa na maongezi yanayo endelea katika simu.!!!

MDAU BEN MULOKOZI YUPO MJINI HAPA KATIKA MAPUMZIKA IKIWA NI NYUMBANI NA KUSALIMIA NDUGU NA JAMAA!!!!!