MADAKTARI WA HOSPITALI YA NYAKAHANGA WILAYANI KARAGWE WAONGEA NA ITV KUHUSU DALILI ZA UGONJWA WA EBOLA MKOANI KAGERA
Kufuatia dalili za Mtoto mwenye umri wa miaka 6 mkazi wa Murongo Wilayani Karagwe kudhaniwa kua ni ugonjwa wa Ebola. Serikali yatakiwa kuchukua hatua za haraka kudhibiti wimbi la wageni kutoka nchi jirani.