MATUKIO SIKU YA WAKULIMA NANE NANE VIWANJA VYA KYAKAILABYA
Pitapita za wadau katika viwanja vya nane nane Kyakailabwa.
Mamia walivyojitokeza sikukuu ya Wakulima
Pombe ni mnanasi na Rubisi kwa kwenda mbele.
Nyama choma na kama kawaida na kauli mbiu ya kilimo kwanza!!!!
Mdau na kilopa mkononi.
Jikoni misosi ikipikwa.
Ajira kuongezeka. ndio kama hivi
Wazee wa makamzi leo wamezundua chama chao kinaitwa 'TUMEAMUA GROUP'
Kwa ufupi starehe zimechukua kasi katika viwanja hivi vya Maonyesho ya nane nane.
Upande wa mabanda ya biashara hapa ni kwa Dr wa magonjwa yote kama bango linavyo someka!!!