Bukobawadau

TAFLANI BAADA YA KATAPILA KUKWAMA DARAJANI

 Katapila lililokua likisawazisha eneo la mto kanoni  mali ya Mdau Devid Mlima limekwama katika  daraja la kasarani lililopo barabara kuu ya Uganda kuelekea  bandaruni,pichani wanaonekana mashuhuda wa sebene hilo.



Jitiada za kulinasua zinaendea
Next Post Previous Post
Bukobawadau