TASWIRA YA WADAU WAKIPATA KAHAWA USIKU WA JANA KIJIWE CHA USWAHILINI BILELE MJINI BUKOBA
Wanaonekana mzee Abdallah na Mzee Nsubuga meya wa kwanza wa halmashauri ya Bukoba hoja iliopo mezani ni swala la Malawi na mpaka wa ziwa Nyasa!!
Mdau Abdallah na Uncle Hemed Mkala kama walivyokutwa usiku wa jana wakiwa kijiweni wakipata kahawa na kubadilishana mawazo...
Kijiweni hapa maongezi makubwa ni vyama vya siasa,maswala ya Sensa na kauli za sheikh mkuu, hoja ya Mh Wenje na kazi za wakuu wa wilaya sambamba na mauaji ya wafanyakazi wa migodini nchini Afrika ya kusini.
Al amin Abdul akiperuzi kwa simu yake ya mkononi
Sehemu ya wadau kulia ni OMG Ali Kikwemu akipata kahawa
Mzee Abdallah King kushoto na Mzee Muhamed Magimbi huyu mzee kingi ndiye mzee pekee aliyebaki akiendelea kuonekana vijiweni mara kwa mara.
Aliyesimama ni mmiliki na mfanya biashara wa kahawa kijiwe hiki
Hakika hivi ndivyo camera yetu ilivyo mulika kijini hapa na haya ni maisha ya kila siku ya wadau hawa kila baada ya shughuli zao !!!