Bukobawadau

TIMU YA KAGERA SUGAR YASHINDA 4-2 DHIDI YA KASHAI FC KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI

 Kocha mpya wa Kagera Sukar Abdallah  King Kibadeni (kushoto) na kocha msaidi Paul Kabange kulia wakifuatilia soka wa nyuma ni Abdulrazak Majid mtangazaji kipindi cha michezo Kasibante Fm Radio

 Benchi la ufundi la timu ya Kashai
 Wadau mashabiki wa Soka wakiendelea kufuatilia mtanange ambapo mpaka  mapumziko kagera Sugar walikua mbele kwa mabao 3-0.
Wadau wa Soka kwa pamoja wa pili kushoto ni Mohamed Hussein msemaji wa timu ya Kagera Sukari

 INAENDELEA
Next Post Previous Post
Bukobawadau