WAISLAMU WAANDAMANA BUKOBA KUSHINIKIZA WENZAO WALIOKAMATWA KWA KUKATAA KUHESABIWA SENSA
Nje ya Viwanja vya Mahakama kuu waislamu wakiendelea na Swala
Waumini wa kiislam wa Mjini BukobA wakiendelea na swala ya dhuhuri nje ya viwanja vya mahakama kuu walipoandamana kushinikiza kuachiwa kwa wenzao waliokamatwa kwa kosa la kukataa kuhesabiwa Sensa
Mwonekano wa jengo la Mahakama Kuu ya Mjini Bukoba
Katika kuishinikiza kuachiwa huru kwa wenzao waliokamatwa.
Sehemu ya waandamanaji wa Kiislamu
Maandamano yakiendelea baada ya wenzao kudhaminiwa