AFYA YA MDAU MZEE ERNEST RUGALABAMU BWAKAYULI(BABA EDAN) YAZIDI KUIMALIKA BAADA YA MATIBABU NCHINI INDIA
Kama ilivyo kawaida Camera yetu ikiangaza huku na kule navutiwa zaidi na mazingira ya nyumba hii na mwonekano wa bustani.
Nikiwa nimeongozana na Kijana Edgar Mishosho |
Nimepata fulsa ya kubadilishana mawazo na Mdau Elick Rugalabamu pichani kushoto ambae ni mtoto mkubwa wa Mzee Edan akijaribu kubabadua juu ya hili na lile kuhusiana na Ugonjwa wa Sukari unao msumbua baba yake kwa muda mrefu.
BUKOBAWADAU BLOG TUNAMUOMBEA MZEE WETU AFYA NJEMA NA APATE KUPONA ZAIDI!!!!!