Bukobawadau

CHEKA UNENEPE!!!!!!!


MUUZA CHIPS NA MTEJA
Jamaa flani alienda kwenye kibanda cha mama nitilie akaagiza Chips na mayai.

Mama wakati ana muekea akamuuliza,"Nizichanganye au?" 

Jamaa kwa kujifanya anajua kizungu akajibu "YEA CONFUSE THEM."





MUUZA CHIPS NA MTEJA

Mteja: Chipsi bei gani?
Muuzaji: 1600 pamoja

na kachumbari.
Mteja: Kwani
kachumbari bei gani?
Muuzaji: Kachumbari
bure.
Mteja: Basi nipe
kachumbari sahani moja

Next Post Previous Post
Bukobawadau