HII LEO BUKOBAWADAU KATIKA KUTEKELEZA ILANI YA MAHUSIANO NA WADAU
Kutoka Quality Praza alifika mdau Eric Bayona akiwa katika mitkasi ya kikazi zaidi
Ni mdau Rama Whateson kulia alifika kuniona hii leo
Mdau Rama akapata picha moja na Mc Baraka
Yote juu ya yote ni ujio wa Mwanajamvi mwenzangu kutoka Kajunason blogspot hakufanya kosa kusikia tu uwepo wangu mjini ni Mdau Cathbert (KUSHOTO.)
Kama kuna blog zinazofanya vyema sana katika tasnia hii ya habari basi mojawapo ni Kajunason blogspot,pichani nipo na mmiliki wa blog hiyo ndg Cathbert Kajuna.
Mdau Michael kama kawaida ametoa ushirikiano mkubwa sana ,pichani anaonekana akisalimiana na Adv Ishengoma hii yote ni kuwega wigo na kutekeleza ilani ya mahusiano.
Kaka Denis akiwa na Mwanahabari Cathbert kajuna.
Mdau Mangi Said kushoto, kijana Fuady Rugusha na Bwana Cathbert
Katika hili na lile nikapokea lawama juu ya kutokufanya habari ya Mwenge Wilayani Misenyi na ni kwa sababu kujipanga ni kidogo.
Adv Protas Ishengoma wa IMM advocate na Mdau Damas Makatu (ibwera moja kwa kuzaliwa)
Mangi saidi katika hili na lile na mdau fuady
Maongezi yakionekana kukolea kushoto ni mdau Abdulrazak Byabusha.....
Ndg Mdau pitia older post kupata habari za nyuma na unaombwa kujiunga nasi kwenye facebook page yetu kwa ku like tu ubavuni mwa blog sehemu husika.