Bukobawadau

KALALA JONIOR AREJEA TWANGA, ATAMBULISHWA RASMI MZALENDO PUB ASEMA NYUMBANI NI NYUMBANI

 Kalala akiwaburudisha mashabiki wa twanga pepeta mara tu baada ya kutambulishwa

 Dogo Rama akiwakilisha vyema jukwaani.

Luiza Mbutu


 Mwimbaji mwenye uwezo mkubwa Badi Bakule katikati ingawaje kwa sasa anaonekana mpole kupitiliza!!!

 Mzee wa kutafuta njia mara uku mara kule Mumin Mwinjuma akiwajibika.

Mdau Anthony na Ndg Baruti
Dogo Rama

Safu ya wanenguaji wa Twanga pepeta






Ukumbi wa Mzalendo Pub ulivyo fulika katika utambulisho wa mwimbaji Kalala Jr.


Next Post Previous Post
Bukobawadau