MSANII ISSA KYAMANI WA BANANA ARTS GROUP KEMONDO AFARIKI DUNIA
Aliyekuwa msanii wa filamu wa Kemondo Ndg Issa Kyamani pichani afariki dunia hii leo baada ya kuugua kwa muda mfupi,Marehemu Issa alishiriki kwenye filamu mbalimbali ikiwa ni pamoja na "SIRI YA MAMA"iliyompatia umaarufu mkubwa
Msiba umetokea nyumbani kwa marehemu eneo la railway kemondo
Maremu ameacha mjane pichani na mtoto mmoja.
Waombolezaji na wafika
Rafiki mkubwa wa marehemu Ndg Issackakiwa nav huzuni .
Wadau wa tasnia ya filamu mjini hapa
Waombolezaji wakiwa katika hali ya simanzi
Sehemu ya wadau waliofika kuwafariji wafiwa
Mwili wa marehemu ukipakizwa kwenye gari tayari kwa safari ya kuelekea kijijini Bulila kwa mazishi
Mwanzo wa safari ya Bulila umbali wa km chache kutokea Kemondo.
Muda mchache baada ya mwili wa marehemu Issa kifikishwa kijijini Bulila
Mwili wa marehemu Issa kabla ya kusaliwa na waumini wa kiislam.
Marehemu akisaliwa kabla ya maziko
Shughuli ya mazishi yaliyofanyika kijijini Bulila Kemondo
shughuli ya mazishi ikiendelea
Sheikh akisoma dua
Sheikh akitoa mawahidha baada ya mazishi na wwasifu wa marehemu

Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un