Bukobawadau

PICHA KADHAA ZILIZOCHUKULIWA KATIKA KUMUAGA MDAU MC JIJINI DAR


 Mdau akiwa falagha na simu!!
 Malivyo tokelezea Bi Judy na Bi Betty
 Mdau Beatus na Bi Happ Mwanga lulia kwa upendo walijumuika kauagana na mie
 Mdau Denice  na Mwana Kelvin Mishosho
 Penye wengi panamengi pia ...
Anaonekana Mdau Beatus akicheck
Mdau Batamwa akifoka kwa USD
Mr appitizer Ben Mulokozi akitiririka kimatani ya kwamba yeye anachokifanya ni kumshkuru mola kwa kile alicho nacho kwani aombi tena kwani aliomba na amepewa tayari!!!!
Mdogo Avid na Byabusha Abdulrazak wakicheck na Camera yetu
Kwa pamoja wananzengo wakigonga cHEERS
Cheers
 Mdau Judy katika pozy
WADAU WAKIENDELEA KUMIMINIKA NILITOKA KIDOGO KUITIKIA MWALIKO WA CHAKULA CHA USIKU KWA NDG TITTUS BUSHAIJA LUBENGE.
 Uso kwa uso na Uncle Titto Bushaija.
Balozi Jijini Dar Mdau Mwemezi Michaez Muhazi katika Intro na Ndg Titto.
 Mdau Titto ametupokea kwa ukalimu mkubwa na kutukaribisha Chakula cha kinyumbani zaidi , ni mpango wa ndizi, samaki aina ya sato na njugu  asikwambi mtu  wenzangu wanamuda hawajapata msosi huu,kwa pembeni  kushoto ni Mtoto Jane wa mwisho katika familia ya watoto watatu wa Mzee TiTTO!!!

Next Post Previous Post
Bukobawadau