Bukobawadau

SALAAM ZA PONGEZI KWA MH.HAMIS SUED KAGASHEKI

Balozi Hamis Sued Kagasheki Waziri wa Maliasili na Utalii

Bukobawadau blog tunapenda kumpongeza sana Mh. Kagasheki. Hakika Jitihada, Ujasiri na Uzalendo wake, ni sifa kwetu Wana-Kagera.
Tukiwa na akina Mh. Mwijage wanawakilisha kikamilifu toka backbenchers, tukawa na Mh.Prof  Anna Tibaijuka kwa pamoja wakiendeleza kupokea na kufanyia kazi toka kingo zao, sifa njema ya Kagera itarejea kileleni. La muhimu ni kuwakumbusha kuwa ukarimu huanzia nyumbani. Na hivyo hizi jitihada zao ziendelee kwenda sanjari na utekelezaji wa mikakati ya maendeleo majimboni (nyumbani kwetu). Sisi wananchi tunachohitaji zaidi toka kwa Wabunge ni kuunganishwa na kushirikishwa kikamilifu katika kujiletea maendeleo. 

Bukobawadau  tunaamini hilo jukumu wanaliweza.!!! 
 The real Sued Kagasheki

 MWISHO  NDG MDAU  TUNAZIDI KUKUOMBA  UTUPE USHIRIKIANO KWA KUTUTUMIA HABARI AU MATUKIO YENYE TIJA KUTOKA POPOTE PALE ULIPO PIA KUMBUKA KUTUSUPORT JAPO KWA KUWA FOLLOWERS , JIUNGE NASI KUPITIA SEHEMU HUSIKA KWA KUTUMIA EMAIL YAKO KWANI TUKIPATA IDADI INAYOYORIDHISHA YA MEMBER NI CREDIT KWETU KIUTENDAJI NA KATIKA HILI TUNAOMBA TUFANYE KUAMASISHANA ILI TUWEZE KUFIKIA MALENGO YETU TUNAAMINI CHANGAMOTO BADO NI KUBWA SANA !!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau