TIMU YA RAS KAGERA YAICHAPA BILA HURUMA BUKOBA VETERAN BAO MOJA KWA BILA MBELE YA MKUU WA MKOA MH. MASSAWE
Kikosi cha RAS Kagera kilicho ibuka kidedea kwa ushindi wa bao moja mbele ya Mkuu wa Mkoa Mh. Massawe
Kikosi cha bukoba Veteran kilichopokea kichapo cha bao moja bila dhidi ya timu ya Ras Kagera.
Mgeni Rasmi ambae ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh. Massawe akitoa nasaha kabla mchezohaujaanza
Mdau Super Mkude kulia akisikiliza kwa umakini.
Mchezaji matata mwenye mbwembwe Kakengi( kushoto) nae ndani.
Wachezaji mwiba wa timu ya RAS Kagera anaonekana Iman Mkonja wao umuita Ima au Haleluya ndiye mfungaji wa ilo goli na kaka Mponda pembeni
Anaonekana wingi hatari wa Bukoba Veteran Mdau Bahati.
Kiungo wa kukaba na kuchezesha Leonidas nae alikuwemo uwanjani hii leo.