WADAU WANUSURIKA KIFO BAADA YA BUS LA MOHAMMED TRANS WALILOKUA WAKISAFIRIA KUGONGA NG'OMBE
Ni bus la Mohammed trans linalosafiri kati ya mwanza na bukoba likiwa limepata ajali mbaya baada ya kugonga na kuuwa ng'ombe 10. tukio hili limetokea juzi usiku wa saa 2 barabara ya Chato.
Abiria wote katika ajali hii wamenusurika
Ajali ilikua mbaya kiasi cha bus kualibika na kushindwa kuendelea na safari ya bukoba
Abiria wote katika ajali hii wamenusurika
Ajali ilikua mbaya kiasi cha bus kualibika na kushindwa kuendelea na safari ya bukoba