Bukobawadau

ABAJULIZI NA SHANGWE ZA BEACH PARTY KATIKA FUKWE ZA KEMONDO

 Huu ndio mwanzo wa safari ya wapenzi wa starehe wakielekea pande za Kemondo,tayari kwa kukisanua katika bonanza la Beach Party lililo andaliwa na kundi la 'ABAJULIZI' jumapili hii 28.10.2012.
Msafara wa magari ukielekea katika fukwe za Kashekelo Beach (Kemondo) umbali wa km 3 kutoka Kemondo mjini sawa na km 25 kutoka Mjini Bukoba.
Wanaonekana wadau wakiwa maeneo ya Fukwe za Kashekelo Beach
Wadau wakiwa wamechil fukweni.
 Kama kawaida wanaonekana washirika wa Bonanza hili la Beach Party wakipata  Nyama Choma
 Beach Party inaendelea na kuna staili  nyingi  za uchomaji nyama ili waliohudhulia waweze kupata ladha  tofauti
 Kikubwa ni kuakikisha kila aina ya kinywaji kinapatikana.
Makamzi yanaendelea huku wadau wakijadili maswala ya mpira kati ya  Man U na Chelsea.
 Wamjini akiwa amejiachia, Pembeni wanaonekana wanakijiji wamejikunyata kama vile wanapigwa na baridi !
 Kuogelea kumehusika kwa baadhi ya wadau, pia yamefanyika mashindano ya michezo mbalimbali,kama  kucheza mpira wa wavu (Volleyball) na kushindana kupiga danadana.

 Mdau Obeid na Mdau Zury wakisikilizia.
 Anaitwa Sunday aka Chadog
 OMG  Jimmy Yeyoo katika pozy kwa pozy!!
 Mdau Benny, Jack, Ras Nold na Bi Jamila wakicheki na Camera yetu.
!!!!??
 Watu wameshika vipaza,majaji wameweza kutoa zawadi kwa washindi walioshiriki  michezo mbalimbali nakwa  wale waliotokelezea kiufukwe zaidi.
Kama inavyo onekana ndivyo ilivyo ...
Mmoja wa washindi akipokea zawadi yake.
 Furaha ikionekana kuwatawala wadau.
 Hivi ni vile tu watu walivyo jiachia baada ya kiza kuingia.
 Mdau Jastn Kaijage, mmoja wa vijana watata akiwa na mmoja wa Wadada watata wa pande za Migela.
 KR wa madavi.
Wadau kwa pamoja wakicheck na Camera yetu.
 Anaitwa  Mr Tall pichani akishiriki MCHEZO wa kupiga danadana.
 Katika hili na lile wanaonekana wanadada wakifurahia jambo.
 Muonekano wa wadau pichani..
 Kijana Edgar Konyani ndani ya fukwe za Kemondo.
Rajab Kitenge kushoto mmoja katika nembo ya 'ABAJULIZI' ambao ndio waandaji wa Bonanza hili la Beach Party.
 Pasipo shaka anaonekana akibofya simu yake ya mkononi Kijana mtanashati Benny Bennisho
Kijana Athman Kaitaba ndiye anatufungia kurasa juu ya kilicho happen JUMAPILI HILI  fukwe za KASHEKELO-KEMONDO






Next Post Previous Post
Bukobawadau