BIHARAMULO YETU HII LEO
Camera yetu ikiangaza Wilaya ya Biharamulo hii leo, Wilaya yenye miradi mbalimbali ya uwekezaji inaoendelea katika maeneo ya Nyamigoga, Nyabusozi, Biharamulo, Nyakahura, Kalenge, Nyarubungo, Runazi na Lusahunga.
Pichani wanaonekana wadau wakisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea kampuni ya uzalishaji wa Chokaa ijulikanayo kwa jina la ZEBRA iliopo Lusahunga wilayani Biharamulo.
Tunavutiwa na bango lenye maneno yasemayo muajiri Mtanzania kwa kununua bidhaa za Tanzania hakika ni ujumbe mzuri sana, tupo katika jitiada za kutembelea maeneo mbalimbali pamoja na mgodi wa dhahabu wa Tulawaka uliopo Wilaya hii ya Biharamulo ili kuona shughuli zinavyoendelea na kuona bango la mwenye mali linasemaje.
Huu ni mradi unaohusisha uwekezaji wa ndani pichani anaonekana Mdau Self Mkude akikagua eneo lenye kiwanda kikubwa cha chokaa kikiwa kinaendelea fanya kazi zake za kuzalisha chokaa,
Ni Bukobawadau Blog kwa habari na matukio ya kila siku ;Hapa uwepo umuhimu wa kujenga kiwanda cha saruji katika ukanda huu wa Kagera ,tunawaomba viongozi wetu walifanyie utafiti swala hili kutokana na kile kinachoaminika kuwa eneo hili la Lusahunga lina Chokaa yenye ubora.