Bukobawadau

BIHARAMULO YETU NA CAMERA YETU HII LEO

 Mwanzo wa Camera yetu ikiangaza mitaa na majengo mbalimbali  katika Mji wa Biharamulo.
 Mjini kati yanaonekana Majengo machache ya biashara  yaliyozungukwa na  Miti,Mji wa mipando/milima ya hapa na pale na utitili wa vumbi
Biashara za hapa na pale zikiendelea
Mitaa mbalimbali
 Stendi kuu ya Mabasi na Magari yanayokwenda masafa mbalimbali
 Muonekano wa nyumba ya kitambo Old school.

Elimu bora inapo patikana.
Muonekano wa Soko Mjini Biharamulo
Next Post Previous Post
Bukobawadau