HAFLA FUPI YA CHAKULA CHA JIONI KWA WADAU WAALIKWA ILIYOANDALIWA NA FAMILIA YA MZEE JAMES RUGEMALIRA
Bi Bendicta Rugemalira akiwakaribisha wadau waliohudhulia hafla hii na kutoa neno la shukrani.
Background inavyopendeza ni kazi ya Mama Matungwa.
Mama Warkgard (Mama Matungwa na Mama Muhazi wakimsikiliza kwa umakini Bi Bendicta.
Mdau Jumanne Bingwa na Mama Chuchu katika hali ya usikivu.
Mgeni Rasmi Mama Benedetha Mushashu akitoa neno.
Shughuli inaendelea na wadau wanaonekana hawana shaka kabisa...
Meza mbili kwa pamoja ni wanafamilia.
Hafla hii imefanyika katika ukumbi wa Bukoba Club na wahusika ni wale waliopata mualiko.
Ikafika wasaa wa kumsikiliza mzee James Rugemalira
Sherehe inaendelea naona kamati ya uangalizi ikiteta kidogo
Hakika kila mdau hana shaka.
Anaitwa Abdul Rahim Kabyemela (mtu wa watu)
Bi Shamila Chanini na Bi Abella Kamala
Ndg Magunis(mchunguzi) na Omg Jerome wanafamilia.
Ndg Bahati akifanya utambulisho kwa kuzingatia protoko.
Yupo Mr &Mr Ngeze.
Meneja wa KCU Mr Ngaiza akitambulishwa na kufuatiwa n wengine wengi.
Nifulsa kwa wageni waalikwa kugonga Cheers na meza kuu.
Wageni waalikwa wakiendelea kugonga Cheers .
Wakati yote yanaendelea,bukobawadau blog tunatumia fulsa hii kuwaomba wadau msisite kutushirikisha kwa tukio lolote lile na hii itabaki katika kumbukumbu hadi kizazi kingine.
Dada Evelyn mmoja kati ya watoto wa Mzee Rugemalira
Wageni waalikwa na wanafamilia wakiendelea kutosi na meza kuu.
Mr Emily Baruti
Kama kawaida Bi Abella Kamala naye ndani
Anaonekana mwenye furaha, pichani ni Binti Rugemalira kwa jina ni Jesca
Mdau mwanafamilia wa Bakoba akigonga ChEERs kwa.....na (amakune)
Ikafuatia burudani kutoka group la Mabibo BEER
Hakika ni bonge la hafla linaloendelea
Ukumbi unavyo shane, hapa mama WarkGard anahusika.
Mdau Thomas Charles Kushoto akiwa safi na wadau wa Windhoek pichani.
Mama Rugusha na Bi Raitya wadau wakubwa wa libeneke hili ni marafiki wa karibu wa familia ya Mzee Rugemalira.
Waalikwa wakiendelea na kile kilichoandaliwa katika hafla hii .
Wageni waalikwa kutoka kushoto ni Mdau Gulam, Mdau Sherejeh,Mdau Divo na mwana wa Ibwera Ndg Hamim.
Pitapita za wahudumu maalumu katika kuakikisha kila kitu kinaenda sawasawa.
Upande wa mtambo kasimama Dj Pembe wa Kampuni ya Mabibo Beer.
Ni muda muafaka wa kupata Msosi , pichani ni Mgeni Rasmi wa hafla hii Mama Mshashu.
Mama Rugemalira ,Bi Bendita akipata msosi.
Baba Paroko akipata huduma hii ya Chakula
Huduma ya Chakula inaendelea haki bin Sawa kwa kila mualikwa,Pichana mbele ni Mama Ngeze.
Mama Matungwa, mpambaji wa shughuli hii na nyingine nyingi zenye kuchukua kasi(ukipenda waweza kumpongeza kupitia sehemu ya comment hapo chini.)
Anaonekana Mama Edward kwa jina maharufu (Mgole shop)
Matukio haya kwa kina nikukuweka wewe mdau msomaji karibu na jamvi hili la nyumbani maharufu kama BUKOBAWADAU BLOG.kikubwa tukuombe comment na ushauri pale inapobidi.
Chakula babu kubwa kilicho andaliwa na Mdau 'Mama Achi' ni chachu ya furaha kwa mdau pichani
Hatua ya msosi ikienda sawia kwa kila mtu.
Camera yetu ikiangaza kila meza, na kukufanya wewe mdau upate kile kinachostahili mfano wake ni hakunaga!!
Mr Msungi na Mr& Mrs Emiry Baruti.
Matukio yote yanapatikana katika facebook page yetu,na twitter unakumbushwa kucheck@dj cool mc,@bukobawadau blog .
Anaetwa Meneja , akiwa kiwanja chake cha numbani namaanisha Bukoba Club
Kulia kabisa ni Ndg Emiry Katanyebile.
Wafanyakazi Kasibante Fm Radio kuelekea mwisho wa shughuli wakiwa tayari wamepata habari katika hekaheka
Sehemu ya wanahabari wa vyombo mbalimbali wakiendelea na msosi
Neno kutoka kwa vijana wa Familia ya Bw na Bi James Rugemalira, pichani ni Ndg Rugaimu msemaji akiwahasa wanaukoo kupendana,kuthaminiana na kukumbuka nyumbani
Mpango mzima ni katika burudani ya Ngoma
Anaitwa Katikilo Thomas Charse.
Background inavyopendeza ni kazi ya Mama Matungwa.
Mama Warkgard (Mama Matungwa na Mama Muhazi wakimsikiliza kwa umakini Bi Bendicta.
Mdau Jumanne Bingwa na Mama Chuchu katika hali ya usikivu.
Mgeni Rasmi Mama Benedetha Mushashu akitoa neno.
Shughuli inaendelea na wadau wanaonekana hawana shaka kabisa...
wanaonekana Bi Jesca na Bi Evelyn Rugemalira |
Hafla hii imefanyika katika ukumbi wa Bukoba Club na wahusika ni wale waliopata mualiko.
Sherehe inaendelea naona kamati ya uangalizi ikiteta kidogo
Hakika kila mdau hana shaka.
Anaitwa Abdul Rahim Kabyemela (mtu wa watu)
Bi Shamila Chanini na Bi Abella Kamala
Ndg Bahati akifanya utambulisho kwa kuzingatia protoko.
Yupo Mr &Mr Ngeze.
Meneja wa KCU Mr Ngaiza akitambulishwa na kufuatiwa n wengine wengi.
Nifulsa kwa wageni waalikwa kugonga Cheers na meza kuu.
Wageni waalikwa wakiendelea kugonga Cheers .
Wakati yote yanaendelea,bukobawadau blog tunatumia fulsa hii kuwaomba wadau msisite kutushirikisha kwa tukio lolote lile na hii itabaki katika kumbukumbu hadi kizazi kingine.
Dada Evelyn mmoja kati ya watoto wa Mzee Rugemalira
Wageni waalikwa na wanafamilia wakiendelea kutosi na meza kuu.
Mr Emily Baruti
Anaonekana mwenye furaha, pichani ni Binti Rugemalira kwa jina ni Jesca
Mdau mwanafamilia wa Bakoba akigonga ChEERs kwa.....na (amakune)
Ikafuatia burudani kutoka group la Mabibo BEER
Hakika ni bonge la hafla linaloendelea
Ukumbi unavyo shane, hapa mama WarkGard anahusika.
Waalikwa wakiendelea na kile kilichoandaliwa katika hafla hii .
Wageni waalikwa kutoka kushoto ni Mdau Gulam, Mdau Sherejeh,Mdau Divo na mwana wa Ibwera Ndg Hamim.
Pitapita za wahudumu maalumu katika kuakikisha kila kitu kinaenda sawasawa.
Upande wa mtambo kasimama Dj Pembe wa Kampuni ya Mabibo Beer.
Ni muda muafaka wa kupata Msosi , pichani ni Mgeni Rasmi wa hafla hii Mama Mshashu.
Mama Rugemalira ,Bi Bendita akipata msosi.
Baba Paroko akipata huduma hii ya Chakula
Huduma ya Chakula inaendelea haki bin Sawa kwa kila mualikwa,Pichana mbele ni Mama Ngeze.
Mama Matungwa, mpambaji wa shughuli hii na nyingine nyingi zenye kuchukua kasi(ukipenda waweza kumpongeza kupitia sehemu ya comment hapo chini.)
Anaonekana Mama Edward kwa jina maharufu (Mgole shop)
Matukio haya kwa kina nikukuweka wewe mdau msomaji karibu na jamvi hili la nyumbani maharufu kama BUKOBAWADAU BLOG.kikubwa tukuombe comment na ushauri pale inapobidi.
Utalatibu huu wa foleni tuliozoea mpaka sasa ni tatizo kubwa kwetu wadau wa Bukoba, salaam hizi ziwafikie wadau wote wanaoendelea hivi sasa na kamati za shughuli zijazo,Ifike pahala tupeane mikakati ndg zangu...!!.
Mdau Mama Rugusha akipata msosi.Chakula babu kubwa kilicho andaliwa na Mdau 'Mama Achi' ni chachu ya furaha kwa mdau pichani
Hatua ya msosi ikienda sawia kwa kila mtu.
Camera yetu ikiangaza kila meza, na kukufanya wewe mdau upate kile kinachostahili mfano wake ni hakunaga!!
Mr Msungi na Mr& Mrs Emiry Baruti.
Matukio yote yanapatikana katika facebook page yetu,na twitter unakumbushwa kucheck@dj cool mc,@bukobawadau blog .
Anaetwa Meneja , akiwa kiwanja chake cha numbani namaanisha Bukoba Club
Kulia kabisa ni Ndg Emiry Katanyebile.
Wafanyakazi Kasibante Fm Radio kuelekea mwisho wa shughuli wakiwa tayari wamepata habari katika hekaheka
Sehemu ya wanahabari wa vyombo mbalimbali wakiendelea na msosi
Neno kutoka kwa vijana wa Familia ya Bw na Bi James Rugemalira, pichani ni Ndg Rugaimu msemaji akiwahasa wanaukoo kupendana,kuthaminiana na kukumbuka nyumbani
Mpango mzima ni katika burudani ya Ngoma
TUKIO HILI LIMEKUFIKIA CHINI YA UDHAMINI WA WINDHOEK AUTHENTIC.PURE.REAL.
KUPATA MATUKIO YA MUDA MCHACHE ULIOPITA GONGA NENO OLDER POST KILA MWISHO WA PAGE, WAWEZA KUSHARE HABARI FACEBOOK,NA WAWEZA KUEMAIL KWA NDG NA JAMAA PIA WAWEZA KUTUTUMIA HABARI YAKO KUPITIA EMAIL YETU HAPO JUU!!