Bukobawadau

KIBAKA ATEMBEZEWA KICHAPO BAADA YA KUKWAPUA NGUO DUKANI

 Wananchi wenye hasira kali wakimtembezea kichapo kijana mmoja aliyejaribu kukwapua nguo ndani ya duka moja maeneo ya Soko kuu na kukimbia kabla ya kuangukia mikoni mwa wananchi.
 Kibaka akiwa mikoni mwa wananchi wenye hasira zao huku akipata kibano cha hatari.
 Sura ya kibaka mwenyewe ambaye jina lake hatukuweza kulipata
 Tukiwa bado eneo la tukio , Kibaka akiendelea kupewa featuring ya kichapo.
Bukobawadau
 Mdau picha akifuatilia namna  kibaka anavyopigwa
 Mtiti wa kichapo ukaanza upya pale tu, Kibaka alipojaribu kukimbia!!

 Muonekano wa mtaa wa tukio hili
Mwisho wa yote akajitokeza mdau anaye mfahamu akatoa ushauri wa kumpeleka kwa Baba yake mzazi anayejishughulisha maeneo haya jirani na kwa Kibengwe.
Next Post Previous Post