LIVE KUTOKA CCM KIRUMBA YANGA V/S TOTO AFRICANS MPAKA MWISHO YANGA 3-1 TOTO
Timu zote mbili zinakaguliwa
Wanahabari wakikimbizana na matukio timu zikiendelea kukaguliwa
Uwanja wa Kirumba ukiendelea kushona watu
Hawa ni wachezaji wa Toto.
Dar Yanga Africans
Bao la kwanza la Yanga lililofungwa na Mchezaji Kavumbagu
Yanga wakishangilia Bao la pili lililofungwa na Twite
Anaonekana Mdau Jack Masamaki
Mdau Elasmus Misifa na Bi Rose Msamila wakicheck na Camera yetu uwanjani.
MwanaYanga Gebi katika hali ya furaha na mwana Simba Mdau Waziri Kabogo akionyesha kicheko cha kuugulia machungu!
Dakika 45 za kipindi cha pili timu timu zinarudi uwanjani. Ikiwa yanga wapo mbele 2-0.
Mwana Kagera Erick Mopa homeboy wa Kashai akipasha.
Wanahabari wakikimbizana na matukio timu zikiendelea kukaguliwa
Uwanja wa Kirumba ukiendelea kushona watu
Hawa ni wachezaji wa Toto.
Dar Yanga Africans
Bao la kwanza la Yanga lililofungwa na Mchezaji Kavumbagu
Mama Yanga Matuni nae ndani
Hivi ndivyo CCM Kirumba ilivyo ingiliwa na mashabiki wa Yanga,(Mi mama full kujipodoa)Yanga wakishangilia Bao la pili lililofungwa na Twite
Anaonekana Mdau Jack Masamaki
Mdau Elasmus Misifa na Bi Rose Msamila wakicheck na Camera yetu uwanjani.
MwanaYanga Gebi katika hali ya furaha na mwana Simba Mdau Waziri Kabogo akionyesha kicheko cha kuugulia machungu!
Dakika 45 za kipindi cha pili timu timu zinarudi uwanjani. Ikiwa yanga wapo mbele 2-0.
Swala la kutunza viwanja vyetu Bongo inakua ngumu, eti mechi ikiisha watu wote uwanjani(over mjajaro)m
Mwenye Chupa, wembe,Jiwe, asidi wote uwanjani hii haikubariki ata kidogo.
Mwalimu wa Toto Mzee Tegete akihojiwa
Kijana Mbogo wa Yanga ambaye mpaka sasa ajapata nafasi
Kijana wa Bk Erick Kyaruzi Mopa kafanya kazi kubwa sana kupambana na Tegete
Erick Kyaruzi akiwa na Erick Biazo wote wapo Toto Africans na wote ni watoto wa hapa hapa Bukoba, Waenga husema Nabii siku zote athaminiwi kwao.
Mamia wakishangaa Basi la Yanga.
Mdau Mwenzetu akiwa kazini Jijini Mwanza.
MPAKA MWISHO WA MCHEZO HUU YANGA 3-1 TOTO