Bukobawadau

LIVE KUTOKA KANISA LA KASHOZI MAHADHIMISHO YA KUAMISHA MWILI WA MWADHAMA KARDINAL LAUREAN RUGAMBWA .

Anaonekana Baba Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini mara tu baada ya kukagua gari litakalo tumika kubebe mwili wa marehemu Kardinali Rugambwa
 Muonekano wa ndani ya Gari.
Muonekano wa gari litakalo ubeba mwili wa Marehemu Kardinali Rugambwa likiwa tayari limepambwa Maua.
 Mtangazaji wa kipindi cha dini, TBC katika kuwajibika
 Mzee Dioniz Malinzi akiteta jambo na Askofu Kilaini.
 Kila baada ya muda ndivyo wanavyozidi kuwasili Viongozi mbalimbali wa dini .
 Kikundi cha Ngoma kutoka nchini Burundi kikiendelea  na mashamsham  katika mahadhimisho haya.
 Shamrashamra za hapa na pale zikiendelea.
 Wadau na waumini wakikiristo wakifurahia burudani ya ngoma kutoka Nchini Burundi.
 Watu na matukio,hapa waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari wakiwajibika
Bukobawadau blog tupo kuakisha unapata kile kinachostahili live.
 Picha zaidi zinaendelea  tukiwa moja kwa moja kanisani, na ratiba inaonyesha ibada itaendelea mpaka saa 7, na kufuatiwa na chakula cha mchana baada ya hapo ni maandamano kuelekea kanisa kuu Mjini Bukoba tayari kwa mazishi mida ya saa kumi  alasili.
Kardinali   Rugambwa 
Ndani ya kanisa muda mchache kabla ya Ibada.
 Waumini wakisikiliza , historia ya Kardinali inayo endelea kutolewa








Maandamano ya watu, magari, pikipiki  yakiendelea .Hapa ni barabara ya Jamhuri eneo la soko kuu.
Kinacho onekana  pichana naweza kusema ni mfano tu wa hali halisi ,watu ni wengi kwelikweli!!!!
 Mh. Peter Matagi akiwa mstari wa Mbele kuongoza msafara wa watu na magari

 Bado tupo barabara ya Jamhuri kuelekea Kanisani.
 Mwili wa Kardinali Rugambwa ukitelemshwa kwenye gari maalum
Ndg mdau msomaji tutajitaidi kuweka video kwenye account yetu ya you tube ili uweze kuona na kusikia kile kilichoongelewa,tatizo lipo kwenye mtandao inachukua muda sana kuingiza video,  ingawa wengi wenu mmekuwa mkilalamika kuhusiana na uchache wa maelezo  katika matukio na hii ni kutokana na mfumo wetu wa kutumia picha zaidi ivyo ushauri wenu tumeupokea.!!.
Endelea kufuatilia blog yako kwa  matukio ya papo kwa papo.
 Kelekea ndani ya Kanisa.
Sehemu ya Maaskofu
 Ndani ya kanisa kuu.
 Mwili ukiingizwa ndani ya kanisa kuu katoliki Jimbo la Bukoba
 Wanakwaya wakiimba nyimbo za maombolezo.
 Kelekea lilipo kaburi.
 Hapa nashindwa nielezeje ingawa naamini ni mwanzo wa ukurasa mwingine  katika kuendeleza  historia ya Kardinal Rugambwa.
Monekano wa kaburi jipya ndani ya kanisa kuu, na pembeni yake zipo kaburi nyingine tatu.

 MISA IMEONGOZWA NA ASKOFU MKUU JIMBO LA MWANZA YDATHADEI RUAICH NA KUSAIDIWA NA NESTORIUS TIMANYWA.


MWISHO.

 


Next Post Previous Post
Bukobawadau