MDAU IJUWE BARUA KUTOKA KANDA YA ZIWA-Kipindi Kipya cha Television Channel ten! Kesho jumapili saa 12:00 jioni
Ndugu Mdau unaombwa kutazama kipindi kipya cha Television kiitwacho
"Barua kutoka kanda ya Ziwa" kila siku ya Jumapili saa 12:00 Jioni
channel ten .Kipindi hiki kilianza
kurushwa October 14,2012.
Kipindi hiki ni cha dk 30, ni kipindi cha kwenye field siyo
studio na kwa asilimia kubwa mfumo wake ni wa uibuaji wa masuala yaliyojificha
katika jamii hasa maeneo ya pembezoni hasa vijijini (Ni cha
uchunguzi).Mtayarishaji mkuu wa kipindi hiki ni mimi mwenyewe .
Husikose kutazama kesho jumapili saa 12:00 jioni. Ambao
hawakuweza kutazama kipindi kilichopita mnaweza kukitzama online hapa chini.
Email ya kipindi ni baruatv@hotmail.com
Mungu awabariki sana
Wasalaam,
Mathias Byabato
0754 527358
Host-Barua Kutoka Kanda ya Ziwa