Bukobawadau

MUONEKANO WA MAJENGO YA CHUO CHA UALIMU CHA BUKOBA LUTHERAN TEACHERA COLLEGE KILICHOPO IBWERA

 Camera yetu  ikiangaza mazingira ya Chuo cha Bukoba Lutheran Teachers Collage,Chuo kinacho toa kozi za Ualimu kwa ngazi ya Cheti na Diploma na kozi za muziki
Jengo la darasa lililo kubwa zaidi
Hostel ya Wasichana
Muonekano wa kanisa linalotumika kwa Sala chuoni hapa.
Haya ni madarasa mengineyo.


Darasa la Muziki

 Mmoja wa wanafunzi akifanya mazoezi ya muziki
Baadhi ya vyombo vya muziki chuoni hapa.
Next Post Previous Post
Bukobawadau