MWANZO WA SAFARI YA HIJA KWA NDG NURU (NURAG)NA MZEE SADICK GALIATANO
Pichani anaoneka Mzee Galiatano akiagana na mwanae anayekwenda Hija Ndg Sadick Galiatano,katikati anaonekana Mzee Pius Ngeze rafiki mkubwa wa familia
Wanaonekana wenye furaha pichani ni Mzee Haji A.Galiatano na mwanae Nuru Galiatano(Nurag)ambaye siku ya leo ni mwanzo wa safari yake ijulikanayo kama Hija.
Mtu na mkwe wake katika nyoso za furaha kushoto ni Mzee Galiatano kulia ni mama Sauda mke wa mzee Sadick galiatano
Ndg Bashiru Issack, Khalid na Mama Hamza(Bi Hindu)wanafamilia.
Ni hatua ya usindikizaji iliyoanza na dua kwa kila HUJAJ masikani kwake.
Wanaonekana Ndg Khalid galiatano na sheikh Omary.
Mdau Hafidh Hamis.
Kwa furaha Ndg Badru Galiatano akikumbatiana na Ndg Sadick Galiatano
Mzee Ali Al-Saqry naye amefika uwanja wa ndege kutoa suport kwa watoto wa rafiki yake.
Anaonekana mwanalibeneke blogger&design Sir Loom na Omg Rama Kambuga.
Sehemu ya wadau walioshiriki katika usindikizaji wa ndugu zao wanaokwenda ibada ya Hija.
'Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu (SW) aliyetupa afya njema na kutujalia uhai mpaka leo tukaweza kukutana hapa kwa lengo la kuwaaga ndg zetu wanao elekea hija';Ni maneno ya mdau n Ndg Twaha Msoke Yunusu pichani kabla ajaendelea na shukrani nyingine..
Mzee Nurag akigeuka nyuma kuwaaga ndugu na jamaa kabla ya kupanda bus la uwanja wa ndege wa mjini Bukoba.
Mama Nurag(Mama Nurath) kulia akiendelea kufuatilia mwanzo wa safari ya hija kwa mmewe.
Ndugu na jamaa wafamilia wakiwa wamekusanyika kushuhudia mwanzo wa safari hii
Usukani mikononi mwa Rubani na ndege ndiyo hiyo inaruka angani