Bukobawadau

SENENE WAANZA KUMIMINIKA MJINI HAPA

 Senene kama kitoweo kikubwa kwa wakazi wa mjini, sasa wameanza  kumiminika hii leo, Camera yetu imeweza kufika eneo hili la Soko la Senene na kukutana na wafanyabiashara hawa pichani wakiendelea na  uchuhuzi wao huku wakilalamika kuwa hali ya biashara kwa siku ya leo si nzuri na hii ni kutokana na ukata,hali kiuchumi,watu wapo balalaa!!
Mdau akichekelea baada ya kudaka cha mtu,(baada ya kupata mteja)
 Senene wakiwa katika mfuko wa kuhifadhia wasiweze kuharibika.
 Mmoja wa wafanyabiashara akitembeza Senene wake mtaani na kuuza fungu sh.500/=

Bukobawadau
 Watoto kama kawaida hawachezi mbali na eneo la tukio.

Wadau wakendelea kuwajibika
Muonekano wa pilikapilika barabara ya Jamhuri, nje ya soko kuu, eneo la wauzaji senene.

Next Post Previous Post