TANZANIA MEDIA FUND(TMF) WATOA SEMINA KWA WANAHABARI MKOANI KAGERA
Mkurugenzi wa TMF Ndg Ernest Sungura akitoa ufafanuzi kuhusu vigezo vya kupata ruzuku ikiwa ni kwa mwanahabari yeyeto Tanzania Bara na Zanzibar, anayeweza kuwasilisha andiko la mradi wa habari za uchunguzi na vipindi vya redio au luninga vinavyoweza kuleta mabadiliko katika jamii.
Kutoka kushoto Daniel Ndayanze, Meneja Radio Karagwe , Winifrida Simon(mama viana),wa gazeti la ELCT Kagera lijulikanalo kama "Ijawebonere" wa mwisho kulia ni Antidius Kalunde mwandishi Tanzania Daima.
Mchokoza mada kutoka TMF Ndg Ndimara Tegambwage akitoa soma namna ya muandishi anavyotakiwa kujipanga, kufika eneo la habari,kuhoji na namna ya kutoa habari yenyewe.
Kulia kabisa ni Mwanahabari Ndg Jonas wa Tanzania Daima.
Ndg Japhet Sanga, Afisa mawasiliano TMF (kushoto)na Ndg Alex Kanyambo afisa mipango wa TMF
Kutoka kushoto ni Method Kalikila mkongwe wa habari kutoka Jarida/gazeti la Rumuli, Ponsian Kaiza and Ayub Mpanja wa Radio Free Africa
Semina inaendelea na wanahabari wapo makini katika kupata kile kinachostahili kutoka kwa viongozi waandamizi wa Mfuko wa vyombo vya habari Tanzania(TMF) ,kutoka kushoto ni Mdau Joseph Ladislaus wa Vision Radio, Richard Kalumuna, Kasibante Radio and Eric Nyaliso waVision Radio
Jembe maharufu kama VEDASTO MSUNGU wa ITV
Anaonekana Ndg Silvester,Afisa habari Mkoa(katikati)akiwa sambamba kabisa na kila tukio.
Mathias Byabato, Mratibu wa wanahabari Mkoani Kagera na mwakilishi wa Channel Ten Kagera.
Mama Edda Sanga,katika ktoa mafunzo kuhusu namna ya utangazajii katika Radio pia Uandaaji wa wa vipindi vyenye ubora.
Wadada pichani ni Anna Robert and Juleva Chizenga kutoka Fadeco Radio na mwenye njano ni Mwanadada Rodia Domic wa Radio Karagwe.
Afisa mwandamizi wa TMF Bi Raziah Mwawanga akijadili jambo na Antidius Kalunde
Joas Kaijage muandishi wa The Citizen pia member wa kutoa makala TMF, Projestus Binamungu and Nicolus Ngaiza wa Kasibante Fm Radio wa mwisho kabisa.
Baada ya ufunguzi rasmi wanahabari walipata fursa ya kuweza kutazama video yenye kuonyesha matukio mbalimbali kutoka TMF
Lilian Rugakingira kushoto wa Mwananchi na Bi Theonestina Juma wa Gazeti la Majira.
Timu ya wanahabari waliohudhilia Semina hii iliyofanyika katika ukumbi wa Jengo la NSSF ghorofa ya nne.
Wanahabari katika hali ya usikivu na umakini, wa tatu kutoka kushoto ni Mdau Mzee Mchuruza wa KDTF.
Bi Gloria Masinde yeye ni Coordinator,Karagwe Media Association
Wa mwisho kushoto ni Mdau Mc Baraka wa bukobawadau, kutoka kulia ni Shaidu Chagulane wa Fadeco Radio,Juhudi Felix wa Karagwe Fm Radio and Valerian Rugarabamu mwenye kibalagashia kichwani ambaye ni Mkurugenzi Vision Fm Radio.
Mwisho wa Semina kila mwanahabari aliweza kuwasilisha wazo la handiko lake ,Pichani anaonekana Ndg Mathias Byabato wa Channel Ten akibabadua hoja kwa Bi Edda Sanga.