Bukobawadau

ALLY CHOKI AKIGANI NA KIPAZA NDANI YA SOCIAL CLUB KAHAMA KWA UDHAMINI WA WINDHOEK BEER

Kiongozi wa Extra Bongo Ally Choki akifurahi kinywaji cha Climax,kinywaji kisicho na kilevi chenye kukuongeza nguvu na kukuchangamsha.
Video kutoka account yetu ya You tube , Ally Choki na kundi zima la Extra Bongo aka wazee wa kizibo.
Mashabiki wakisebeneka na Sebene la Extra Bongo .
Next Post Previous Post
Bukobawadau