Bukobawadau

BONANZA LA WINDHOEK PREMIUM LAGER NA EXTRA BONGO LAFANYIKA KIWANJA CHA CLUB MASAI MCHANA WA JANA NA KUFUNIKA ILE MBAYAAA,IKIWA NI ITIMISHO LA ZIARA YAO KANDA YA ZIWA NA MKOA WA DODOMA-SASA NI ZAMU YA MORO TAREHE13-14/11/2012 NDANI YA CAMEL PUB NA MWISHO NI IVORY CLUB.

 Nje ya kiwanja cha Club Masai  mamia ya wananchi wakifuatilia show katika bonanza lililoandaliwa kwa udhamini wa Windhoek Premium Lager Beer ikiwa ndio mwisho wa ziara yao kwa kanda ya ziawa na mkoa wa Dodoma, ambapo shangwe zitaamia mjini Morogoro tarehe 13/11/ ndani ya Kiwanja  cha CAMER PUB hii itaanza majira ya saa 10 jioni mpaka kucheee!!

Ni mambo ya Windhoek na Extra Bongo aka wazee wa kizibo na ushirikiano wa kundi la Mabibo Beer.
 Show kali ikiendelea katika bonanza.
 Show ya madancer.
 Mchana wa Bonanza wadau wakifurahia Windhoek.
Hakika mambo yameanz mapema na kushane ikiwa leo ni itimisho la Ziara kwa kanda ya ziwa.Na tarehe 13-14  ni zamu ya Morogoro
Ni pale Jah people anaposahau MUZIKI wa REGGAE  na kuanza kusebeneka na Extra Bongo
 OMG Jerome na Mdau Kelvin kutoka kampuni ya Mabibo Beer
Wengine hivi wengine vile...mpaka kucheee!!
 Mtanabe na Mzee wa Farasi wakiwachengua mashabiki jukwaani.
 Unaambiwa 'MJINI MIPANGO' ni maneno ya Ally Choki
 Usipime wala usiambiwe jamaa wapo vizuri sana
 Show kali kutoka kwa wanenguaji wa Extra Bongo
 Ramadhani Masanja 'Banza Stone' ft Ally Choki katika wimbo wa Mtaji wa Masikini.
 Rama Pentagoni Safu ya waimbaji wa Extra Bongo, yote juu ya yote anasema wakazi Moro wakae mkao wa utayari kwa tarehe 13-14 ndani  CAMER PUB na IVORY HOTEL.
 Full kusebeneka.
 Anaitwa  Thaiya akiwa katika pozi,huku akipata ladha mchanganyiko wa Climax na Windhoe!!
 Ndani ya ukumbi wa Club Masai mambo yalikuwa hivi.
 Full bata , kutoka kushoto ni mdau Mzafa, Jerome na Mtu mzima Kelvin.
 Washikadau wa Kahama Fm Radio walikiwepo pia.
 Fatma mwarabu wa kahama.
 Anaitha Athanas Mtanabe muimbaji wa Extra Bongo
 Rapper kabasano Frenk , mtoto wa Kihaya aliyejipatia umaharufu mkubwa kanda ya ziwa kwa rap yake mpya ya kihaya isemayo;'Mkazi wange bojo noyendaki'
 Anatwa Renock aka sura ya mauzo ni  muimbaji wa Extra Bongo.
Seba Ngosha akiwajibika.
 Show babu kubwa kutoka kwa Nywamwela na wenzake.
Hivi ndivyo Makamzi ya mwisho ya Extra Bongo yalivyokua kwa kanda ya ziwa , Baada ya Kahama sasa ni zamu ya Morogoro ambapo jumanneBand iliyojipanga vizuri zaidi katika safu ya uimbaji , kushoto ni muimbaji Banza Stone mwenye Elimu ya muziki,katikati ni Robart Ega Katapila aka Rick Ross.
 Kwa raha ,tabasamu na bashasha ni mkali Seba Ngosha.
 Ndg Ahsani akipata Maelekezo kutoka kwa Mzee James
 Hakika ni burudani ya aina yake, kama wanavyo onekana wadau pichani
 Ni katika Bonanza la Windhoek na Extra Bongo kwa wakazi wa kahama  ikiwa ni itimisho la ziara kwa kanda ya ziwa, baada ya Geita, Mwanza, Bukoba na Kahama  na kikomo ni Mkoani Morogoro kwa tarehe 13/11/2012 ndani ya  CAMER PUB , 14/11/2012 Funga kazi katika ukumbi wa SAVOY HOTEL,unakumbushwa bei promosheni ni @2500 mpango mzima ni kutoa 10,000 na kupata bia 4 na kuongezewa 2 free.
 MC's Mganga Ndele wa Kampuni ya Mabibo Beer.
 Mdau Daudi Kibogoyo.
 Ni katika Bonanza la nje ndani ya Masai Club.
Maisha yanaendelea ndani ya club masai.
 Wadau wakicheck na Camera yetu.
 Banza Stone katika picha ya pamoja na wapenzi na mashabiki wake.
 'Bilibita'?!
 Wadau wakcheck na Camera yetu mjini kahama.
 Kahama napo  mmh!!!
 Mwanamama akiendelea kufurahia Windhoek Premium Lager Beer

NI ITIMISHO LA ZIARA YA EXTRA BONGO KWA KANDA YA ZIWA CHINI YA UDHAMINI WA WINDHOEK PREMIUM LAGER BEER BAADA Y KUZUNGUKIA MIKOA YA MWANZA, KAGERA, GEITA NA WILAYANI KAHAMA ,PIA DODOMA  NA TAREHE 13-14/11/2012 NI ZAMU YA MOROGORO  KATIKA UKUMBI WA  CAMEL PUB NA MWISHO NDANI YA IVORY CLUB NI MWENDO WA KUNUNUA 4 NA KUPEWA 2 FREE NA OFFER HII NI MPAKA MWISHONI MWA MWAKA HUU.!!



Next Post Previous Post
Bukobawadau