Bukobawadau

CAMERA YETU HII LEO NDANI YA CHICHI HOTEL JIJINI DAR ES SALAAM

Muonekano wa Jengo la CHICHI HOTEL lililopo  Kinondoni B mtaa wa Kazima Jijini Dar es salaam.
Kushoto ni Mkurugenzi wa Chichi  hotel Mdau Christhoper Chichi Nyamwihura,Mzee John Nyamwihura wa mwisho ni Mdau Amos.



 Ukumbi una Projectar za kutosha.
 Muonekano wa shughuli ya upambaji  hii leo ndani ya ukumbi wa CHICHI HOTEL.

Maandalizi ya vyombo vya chakula.
 Sehemu ya maegesho ya magari kwa ndani nakutana na kipira cha Mdau
Muonekano wa kipira hiki chenyev nambari T567 BKM mali ya mdau Ben Mulokozi
Mdau Mganga Ndele wa Kampuni ya Mabibo katika pitapita zake pande za Chichi Hotel.

Mzee Ben Mulokozi akicheck kama kiasi cha siku kinatosha.
 Uso kwa uso pande hizi na mdau Catres wa Manispaa ya Mji Bukoba
Camera inakutana na  mdau Johnson Masabala.
 Wadau wakifurahi mbele ya Camera yetu
Mdau Revocatus Biro.
Kijana Ally Hamza maeneo ya Chichi Hotel akicheck na Camera yetu.
 Mdau Tinka (kulia)katka tabasamu
 Wadau wakiendelea kufuatilia soka jioni hii.
 Mashabiki wa Soka ikiwa ni Arsenal 5-2 Tott'ham



Next Post Previous Post
Bukobawadau