Bukobawadau

CAMERA YETU PANDE ZA MISSENYI NA MAENDELEO YA KAAGYA

 Ujenzi wa miundo mbinu unaendelea vizuri katika eneo hili la Mto Kaagya uliopo katika Wilaya ya Missenyi.
Mafundi wakendelea na ujenzi wa barabara katika eneo hili .
Hakika ni kazi nzuri inayoendelea na kuna haja ya kujivutia.

Hivi ndivyo kasi ya ujenzi wa barabara hii ya Kaagya inavyoendelea.
 Sehemu hii inaitwa Gera,Miaka ya 80 palichangamka sana hapa, Maduka ya ushirika na maduka ya RTC yalifanya eneo hili kupata umaharufu sana.
 Muonekano wa Majengo ya Chuo cha Ufundi Gera,Chini ya Jumuhiya ya wazazi kwa ufupi ni kwamba Chuo hiki kimepoteza mwelekeo, wahusika fanyeni kile kinachostahili.
 Moja kati ya Majengo ya Chuo cha Ufundi Gera. Hii si hatari bali ni haibu kwetu!!!
Mugana hii leo na Camera yetu, kama unavyo jionea ni pitapita za wanafunzi na wadau wakielekea hospital.




Camera yetu ikiangaza pande za  Mugana Madukani
Moja ya jengo lililopo  Center maharufu ya Ruhunda.
 Center ya Mugana Bwanjai Kiziba.
 Baadhi ya Majengo yaliyo chini ya Hospital ya Mugana.
 Katika ya Barabari , kila nionacho kwangu ni tukio.!!!
 Hii ni barabara kuelekea Bwanjai-Kiziba ghafla nakutana na Pembe la Ng'ombe katikati ya barabara.
Next Post Previous Post
Bukobawadau