Bukobawadau

EXTRA BONGO WAFUNIKA MJINI MORO NDANI YA CAMEL PUB KWA UDHAMINI WA WINDHOEK PREMIUM LAGER ,FUNGAKAZI NI LEO 14/11/2012 NDANI YA SAVOY HOTEL HAPO MOROGORO

 Mashabiki wa Extra Bongo mjini Morogoro wakisakata Lumba kali kwa  
....
 Banza Stone msanii mwenye mashabiki kibao
Mzee wa Sura ya mauzo  anaitwa Redock..
Kwa kuwajali wateja wake kampuni ya MABIBO BEER inasambaza kinywaji Cha Climax kisicho na kilevi na chenye kuchangamsha mwili.
Anaitwa Martn Kibosho.

 Mitwango ya kazi miguuni wanadada wakisha amua.
 Wadau wa Windhoek Premium Beer Mc Mganga Ndele,Mdau Daudi katikati na wa mwisho kulia ni Mshauri wa Kampuni ya Mabibo Beer Ndg Kamala
 Wadau wakiendelea kufurahia kinywaji cha Windhoek, na huku wakifuatilia show kutoka kwa Wazee wa Kizigo(wana Extra Bongo)
 Ndani wa Ukumbi wa Camel Pub  mjini Morogoro, wanaonekana wanadada wamekipokea kinywaji cha Windhoek kwa Amani.
 Mwanamama akiwa kikazi zaidi baada ya kushtukia deal kuwa Windhoek ndio habari ya Mjini
 Mpango  mzima ni kununua 4 kwa elfu 10 na kupewa mbili kama zawadi,na mpango huu ni mpaka mwishoni mwa mwaka!!!!
Ata kwa msosi Windhoek inapanda
 Mdau Jerome Rugemalira  Mkurugenzi wa mauzo wa Kampuni ya Mabibo Beer akitoa shukrani kwa wadau wa Mjini Morogoro kwa kukipokea vizuri kinywaji cha Windhoek.
 Mshauri wa Kampuni ya Mabibo Beer Ndg Kamala akiongea na washabiki waliojitokeza katika Uzinduzi wa Windhoek Beer  kwa usiku wa jana ndani ya  Camer Pub Morogoro.
Next Post Previous Post
Bukobawadau