Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU -JUMANNE 20/11/2012

 Camera yetu hii leo ikiangaza vilinge vya wauzaji wa Mirungi moja ya bidhaa iliyopigwa marufuku nchini tanzania  ingawa upatikanaji wake mjini Bukoba na matumizi yanaongezeka kwa kasi.
 Picha ya Mirungi kwa jina la hapa ni maharufu kama Kabasanda  (gomba)au Miraa  ambayo ina visisimuzi vya asili na ni maharufu kwa jamii ya wasomali ingawa kila kukicha kasi yake inaongezeka kwa watumiaji mjini hapa.
 Anaitwa Skitu pichani bila shaka kabisa ,ikiwa  ni kabla ya  handasi au ulevi wa mirungi kumpanda.
Watumiaji  wa Mirungi wanajisikia mzuka flani, wako macho, wana furaha na wanaongea sana bukobawadau tumeshuhudia watumiaji wa  mirungi pamoja na kwamba inauzwa bei ghali bado walaji wake wengi ni watu wakipato cha chini na wanajisifu kweli, hatujui  hii sifa inatokana na nini?!
 Pita pita za hapa na pale katikati ya mji wetu.
 Stendi ya magari ya Bugabo.
 Muonekano wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania  jimbo la Bukoba.
 Barabara ya Kashozi mchana wa leo .

 GONGA NENO OLDER POST KUPATA HABARI ZAIDI

WADAU TUNACHUKUA FULSA HII KUWAOMBA MTUJULISHE  NA KUTUSHIRIKISHA KATIKA MATUKIO MBALMBALI NI NGUMU  BILA KUPEWA TARIFA SISI KUJUA KINACHOTOKEA KILA ENEO , NA HII INATOKANA NA MALALAMIKO TUNAYO YAPATA IKUMBUKWE TUNAITAJI KUJIPANGA NA TUICHULIE BLOG YETU KAMA CHOMBO SIO KAMA MTU TU NA NDIPO TUTAFANIKIWA!! 
Next Post Previous Post
Bukobawadau