Bukobawadau

KUMBUKUMBU YA MWAKA 1 YA MAREHEMU SABAS J. RWEGOSHORA;Ilikuwa kama ndoto lakini ni kweli yalitimia, tunaamini kimwili hauko nasi lakini kiroho tunakukumbuka daima Mzazi wetu mpendwa.

 MAREHEMU SABAS J.RWEGOSHORA
Ni mwaka 1 sasa umepita tangu ulipotutoka mzazi wetu mpendwa, tunakumisi sana Upendo wako kwa familia hautasahaulika kamwe na hakuna wa kuliziba pengo. "raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie" PUMZIKA KWA AMANI BABA.

Next Post Previous Post
Bukobawadau