Bukobawadau

LIVE KUTOKA UWANJANI KAITABA KAGERA SUGAR 2-0 PRISON

 Wachezaji wa Timu ya Kagera Sugar wakishangilia bao lilifungwa na mchezaji Temmy (katikati)mnamo dakika ya kumi ya mchezo kwa njia ya penati
Wakielekea katikati ya uwanja baada ya kushangilia BAO
Benchi la timu ya Prison.








Mchezaji Temmy Felix akiwa tayari kupiga penati na kufanya kuhesabika kwa bao la kwanza kabla ya mchezaji kutoka nchini Nigeria Ameke aka Di Maria kutupia bao la pili.
Mtanange unaendelea...




 Mashabiki wa Soka Jukwaa la Mchanganyiko
 Sehemu ya mashabiki Jukwaa la Golani.

 Wadau Meza kuu kushoto ni Mzee Kayungi na Kaka Mkuu mwenye bashasha kulia.
Kushoto ni mchezaji wa zamani wa RTC Kagera Ndg Godwin Kichemu akifuatilia soka uwanjani Kaitaba.
Mzee Juma Chama Umande katibu TFF Mkoa.
Mashabiki wa soka uwanjani kaitaba..wakiendelea kupata raha kwa soka safi wabalotandaza wakata miwa wa Kagera Sugar.
Katikati ni Mdau Said Mushamu mchezaji wa zamani RTC Kagera kwa sasa na mzee wa jukwaa kuu!
Anaonekana kwa mbali Mdau Sued.
Mlangoni mambo yapo hivi, mtu bila tiketi ukatizi..
Next Post Previous Post
Bukobawadau