MAELFU WASHIRIKI MAZISHI YA MAREHEMU ALHAJ JAAFAR SAKIBU BWANIKA WA BUSHAGARA
Swahiba na rafiki mkubwa wa Marehemu , Al haji Abbakari Galiatano akiwasili msibani.
Anaonekana Alhaj Kambuka .
Wadau mbalimbali waliohudhulia mazishi.
Sehemu kubwa ya wanawake kama kawaida katka misingi ya Dini ya Kiislam huwa wanahudhuria na ila hawaziki !
Mdau Bashiru badae mmoja wa washiriki kulia.
Waumini wa Dini ya Kiislam wakisalia maiti ya Marehemu Alhaj Jaafar Sakibu Bwanika.
Wadau mbalimbali katika kuuaga mwili wa Marehemu Alhaj Jafaar.
Mwili wa marehemu Ukipelekwa kaburini, eneo la nyumbani kwake Bushagara Kamachumu. na hapo ndio mwisho wa safari ya maisha ya Marehemu Alhaj Jafaar, Mzee wetu mpambanaji.
Ndugu wa familia na mtoto wa Marehemu ndg Kandanda wakiwa kaburini tayari kustiri mwili wa Marehemu Alhaj Jaffar.
Mdau Salum Organizer akitoa support kwa sheikh Mustapha.
Sheikh Mustapha akiongoza mazishi ya Mwanajumuhiya mwenzake.
Uradi ukisomwa kwa pamoja.
Mazishi yanaendelea....
Ni hali ya taflani msibani, wingi wa watu ,mvua za hapa na pale.
Anaonekana Yunusu K na JK Jamco.
Wananchi kutoka pande mbalimbali walioshiriki mazishi haya.
BUKOBAWADAU BLOG Tunatoa pole kwa wafiwa, jamaa na wanajumuia wote INNA LILAH WAINNAILAH RAJIUUN ...