Bukobawadau

MAKAMZI WA EXTRA BONGO WAZEE WA KIZIBO NDANI YA CLUB LA ZIZI DODOMA CHINI YA UDHAMINI WA WINDHOEK BEER.

 Kiongozi wa Band ya  Extra Bongo Ally Choki mzee wa farasi akigani  jukwaani katika Show iliyofanyika kwa usiku wa Jana ndani ya ukumbi wa Club LA ZIZI  Mjini Dodoma, Chini ya udhamini wa Bia safi ya Windhoek.
 Wanenguaji wa Extra Bongo katika makamzi ya Shoo.

 Vijana wa Extra Bongo next leval wakiwajibika Jukwaani.

NI HABARI MATUKIO NAMNA BAND YA  EXTRA BONGO, NEXT LEVAL ,WAZEE WA KIZIBO WALIVYOFANYA VITU  VYAO NDANI YA UKUMBI WA CLUB LA ZIZI DODOMA WAKIONGOZWA NA ALLY CHOKI MZEE WA FARASI CHINI YA UDHAMINI WA BEER SAFI YA WINDHOEK.
Next Post Previous Post
Bukobawadau