HABARI MATUKIO NA WADAU KUTOKA PANDE MBALIMBALI
Pichani Mdau Mwesi Kahwa (ass. meneja wa SDV)katika kuwajibika ofisini kwake. huyu ni mmoja wa wadau wakubwa wa libeneke la Bukobawadau Blog.
Wadau wakubwa wa libeneke la Bukobawadau wakielekea Zenj,i hayo ni mambo ya weekend.
Ni habari matukio na wadau pichani anaonekana Ndg Rutta Katabarwa(mwaka wa 3 barchelor n archtecture)na mdau Atugonza Nyamwihura(kushoto) aliyemaliza masomo yake UD Barchelor in Science in Micro biology wakiwa na wenzao katika sherehe za wanafunzi wa Vyuo Vikuu.
Moja wapo wa kazi za Mdau Rutta Katabarwa Mtaalamu wa kuchora ramani za nyumba/majengo na mambo mbalimbali.
Kulia ni Kijana mwenzetu katika kutujuza alipofikia kmasomo. Anaitwa Ken Nyamwihura ,mtoto wa Dr.Yonnah Nyamwihura akiwa na rafiki yake princess Magefe otilimbe wa south rodesia katika kupongezana baada ya kumaliza masomo Barchelor Law in Contrasts katika chuo cha Coventry nchini Uingereza .
Kwa hivi Sasa Mdau Ben pichani anaendelea na masomo yake akichukua masters in law havard univercity USA.

BUKOBAWADAU BLOG TUNACHUKUA FULSA HII KUWAPONGEZA WADAU HAWA TUKIAMINI KWAMBA NI MFANO MZURI WA VIJANA WANAOTAMBUA WAJIBU WAO!