Bukobawadau

MSHINDI WA EPIQ BONGO STAR SEARCH APATIKANA NI WALTER CHILAMBO


Mshindi wa Epiq Bongo Star Search 2012WALTER CHILAMBO katikati,baada ya kukabidhiwa zawadi ya mshindi wa kwanza  jumla ya Shilingi Milioni 50 za Kitanzania
 Mshindi wa pili katika shindano hili kushoto ni Salma Yusuph muda mchache akiwa naWalter Chilambo kabla ya kutangazwa mshindi.
 Chief Judge Madam Lita Lopez katika mambo flani kimjini na Master J.
 Anaitwa Salama mmoja wa majaji wa shindano hili
 Washiriki wa Washindano la EBSS 2012 ambao wamefanikiwa kuingia fainali ya shindano hilo wakiwa jukwaani usiku huu wakati wa kuanza kwa fainali hizo. Ni ndani ya Ukumbi wa Diamond Jijini Dar es Salaam. Mshindi kuondoka na kitita cha Shilingi Milioni 50 za kitanzania.
Next Post Previous Post
Bukobawadau