Bukobawadau

PICHA MBALIMBALI MKURUGENZI WA MABIBO BEER,WINES AND SPIRITS LTD AKUTANA NA WANAMUZIKI WA EXTRA BONGO MJINI MORO.

 Mkurugenzi wa MABIBO BEER,WINES AND SPIRITS LTD Mr James Lugemalira akiongea na baadhi ya wanamuziki wa Extra Bongo.
Nyamwela na mwenzake katika picha  ya pamoja na mzee James.
Wanamuzi wa Extra Bongo kutoka kushoto ni Nyamwela, Banza , Katapila
Mkurugenzi wa Mabibo Beer Ndg James Lugemalira akitolea jambo ufafanuzi.
 Wadau wa Climax kinyaji kisicho na kilevi kinachosambazwa kote Nchini na kampuni ya Mabibo Beer, Pishani ni Mdau Mikidad  na Ally Choki.
 Kushoto ni Mdau Nujib ,meneja wa Extra Bongo

 CHeerssss
 Mzee James Lugakingira akiendelea na ufafanuzi.
 Ni zamu ya Ally Choki kuongea kile namna alivyo upokea udhamini huu wa Windhoek Premium Beer.
 Pamoja na yote mzee James Lugakingira alitumia fulsa hii kuwaeleza wanamuziki hawa yale aliyonayo na kuwaeleza kuwa ataendelea kuwadhamini katika maonyesho yao mbalimbali nchini pia kuwaeleza namna promosheni ya Windhoek inavyoendelea kwa mtindo wa nunua 4 upate 2 free,



10NOVEMBER 2012

MABIBO   BEER WINES   AND   SPIRITS LTD
UP   COUNTRY   PROMOTIONAL   PRICE   LIST  FOR  WINDHOEK PREMIUM   LAGER DURING  THE   CHRISTMAS   AND  NEW  YEAR SEASON   ENDING   31 DECEMBER  2012.
S.N
QUANTITY PURCHASED
UNIT PRICE INCLUSIVE 18% VAT  IN   TSHS 
QUANTITY GIVEN FREE
1
CARTONS         96
46,000
CARTONS     48
2
CARTONS          92
46,000
CARTONS     46
3
CARTONS          88
46,000
CARTONS     44
4
CARTONS          84
46,000
CARTONS     42
5
CARTONS          80
46,000
CARTONS     40
6
CARTONS          76
46,000
CARTONS     38
7
CARTONS          72
46,000
CARTONS     36
8
CARTONS          68
46,000
CARTONS     34
9
CARTONS           64  
46,000
CARTONS     32
10
CARTONS           60
46,000
CARTONS     30
11
CARTONS           56
46,000
CARTONS     28
12
CARTONS           52
46,000
CARTONS     26
13
CARTONS           48
46,800
CARTONS     24
14
CARTONS           44
46,800
CARTONS     22
15
CARTONS           40
46,800
CARTONS     20
16
CARTONS           36
46,800
CARTONS     18
17
CARTONS           32
46,800
CARTONS     16
18
CARTONS           28
46,800
CARTONS     14
19
CARTONS           24
47,500
CARTONS     12
20
CARTONS           20
47,500
CARTONS     10
21
CARTONS           16
47,500
CARTONS     8
22
CARTONS           12
47,500
CARTONS     6
23
CARTONS           8
48,000
CARTONS     4
24
CARTONS           4
48,000
CARTONS     2
25             BUTTLES            4                 10,000                                   BOTTLES      2

 Kituko ni pale Mdau Shaban alipotafuta namna ya kupata kimo cha Muimbaji Khadja Kimobitel.
  Mshauri wa Kampuni ya Mabibo Beer, Mr Kamala akielezea namna anavyo mfahamu Kiongozi na muimbaji wa Extra BongoAlly Choki.

GONGA NENO OLDER POST KUENDELEA KUPATA HABARI ZA MUDA MCHACHE ULIOPITA.
Next Post Previous Post
Bukobawadau