Bukobawadau

PITA PITA MITAANI MAENEO YA NYANDA ZA JUU MAFUMBO,KISINDI NA KATOTORWANSI,NDANI YA MANISPAA YA BUKOBA

 Haya ni maeneo ya ukanda wa juu upande wa kisindi
  Muonekano wa wa sehemu ya mji wa bukoba haya ni maeneo ya mafumbo kahororo kashai mpaka nyamukazi
 Kivutio kikubwa ndani ya ziwa victoria ni kisiwa cha Msira kama kinavyoonekana katika  picha,

Katika pita pita nakutana na wadau hawa maeneo ya katotorwansi ukanda wa juu wakiandaa mitegeo ya senene kwani huu ndo msimu wake
Ndoo na mapipa ya kutega senene
 Kazi ya kuandaa mitego ikiendeelea  
 Mitego ikiwa tayari kwa ajili ya kukamata senene.

 Taa itumikayo kuvuta senene wakati wa usiku
 Upande huu wa kisindi maindi ndo yameanza
mtaa kwa mataa vichochoroni maeneo ya katotorwansi
 Kwa maitaji ya mboga mboga pande za huku hapa ndio penyewe kwa mama naniihiii
Muonekano mzuri na kijani iliyoenea maeneo haya
 Kwa mbali ni Barabara ya kahororo ielekeayo Mugeza
Muonekano mzuri wa maeneo ya mafumbo 

Picha na Salum Galiatano (Sir.loom INC)
Next Post Previous Post
Bukobawadau