RUFEDHA FILM COMPANY YAZINDUA FILAMU YAKE MPYA YA ZAIDI YA MUONGO(MORE THAN LIAR) CHINI YA UDHAMINI WA WINDHOEK BEER KATIKA UKUMBI WA KILIMANI DODOMA AMBAPO MH WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI,VIJANA,UTAMADUNI NA MICHEZO ALIZINDUA FILAMU HIYO.
WAZIRI WA HABARI VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO FENERA
MUKANGALA AKIWASILI UKUMBINI KUZINDUA FILAMU HIYO
MSANII MAMA MJATA AKISOMA RISALA YA WASANII KWA MGENI RASMI WAZIRI WA HABARI,VIJANA,UTAMADUNI NA MICHEZO DR FENERA MUKANGALA
MSANII BATULI AKITOA UTAMBULISHO WA WASANII WALIFIKA
UKUMBINI
WASANII WAKIFURAHI NA WINDHOEK PAMOJA NA CLIMAX BAADA YA UZINDUZI RASMI WA FILAMU YA MORE THAN LIAR NA MH WAZIRI MUKANGALA.
MSHIRIKI WA FILAMU HIYO AKIFURAHI NA KINWAJI CHA WINDHOEK
uzinduzi huo umefaniyika katika ukumbi wa kilimani mjini dodoma jana na kuhudhuriwa na waziri wa habari,vijana,utamaduni na michezo mh DR FENERA MUKANGARA aliyekuwa mgeni rasmi,akizindua filamu hiyo mh mukangara waziri wa habari,vijana utamaduni na michezo amewataka wasanii nchini kutengeza filamu zenye mahadhi ya utamaduni wa mtanzania na kuwaasa wasanii kuongeza zaidi elimu zao za sanaa ili kuwa na ufanisi zaidi katika tasnia hiyo ya filamu.
naye mkurugenzi wa kampuni hiyo bwana salehe amempongeza mh waziri huyo kwa moyo wake wa kujitoa katika kuhamasisha sanaa hapa nchi na kuahidi kushirikiana naye hasa katika kudhibiti wizi wa kazi za wasanii hapa nchini huku akiipongeza kampuni ya mabibo beer kupitia kinywaji chake cha WINDHOEK na CLIMAX kwa kudhamini uzinduzi huo.
miongoni mwa wasanii waliopamba uzinduzi huo ni pamoja na bibi mwajata,batuli,na willson makubi katibu wa shirikisho la filamu tanzania