Bukobawadau

TAMKO LA SERIKALI KUHUSU WANAFUNZI WATAKAOSHINDWA MTIHANI WA KITADO CHA PILI!!

“Novemba 5/2012 wanafunzi wa kidato cha pili walianza mitihani yao ya Taifa huku serikali ikitoa tamko kwamba mwanafunzi atakayeshindwa mara ya kwanza atapewa fursa nyingine mwaka unafuata na baada ya hapo akishindwa kupata alama zinazotakiwa, atatimuliwa shule.”

“Shule hizo hazina walimu wa kutosha na hata wengine waliopo hawana viwango vinavyokidhi. Utakuta shule moja yenye wanafunzi 300 hadi 400 ina mwalimu mmoja au wawili.

Bukobawadau
Kutokana na hali hiyo, wanafunzi wa shule hizo wanajikuta wakikosa masomo muhimu kama ya Kemia, Fizikia, Kemia na Hisabati.”
“Kimsingi, mwanafunzi anayesomea katika mazingira magumu kama hayo hawezi kufaulu kirahisi mitihani na kupata wastani wa alama 30 zinazotakiwa hata kama ataruhusiwa kurudia mitihani hiyo.”
Next Post Previous Post