Bukobawadau

UZINDUZI WA WINDHOEK PREMIUM LAGER WAPAMBA MOTO,EXTRA BONGO YAFUNIKA NA KUACHA GUMZO KWA WAKAZI WA MBAGARA, KIJICHI,MTONGANI, MISSION NA MAENEO YA JIRANI

 Ni hatari, ni balaaa ni mfuniko wa zege wanaonekana wanamuziki wa Extra Bongo wakifanya kile kinacho stahili,ni libeneke la Uzinduzi wa Windhoek  Lager kinyaji kinachosambaza na Kampuni ya MABIBO BEER
Banza Stone , mzee wa mikato aka Makaveli akiwapagawusha mashabiki waliojitokeza katika ukumbi wa Winston kwa usiku wa jana uliopo Mbagara Kijichi Jijini Dar es Salaam.
Hivi ni vile wanenguaji wa Extra Bongo wanavyo wajibika Jukwaani
 Mashabiki wa Banza Stone wakishindwa kuzuia furaha yao
Muonekano wa Ukumbi wa Winston.
 Mashabiki wa Extra Bongo wakifuatilia show  kali inayoendelea
 Inasemekana kinywaji kina ubora wa hali ya juu ndio maana watu wametokea kukipokea kwa kasi kama unavyo weza kujionea pichani
Msanii Dokii ni mmoja wa waliohudhulia Onyesho hili, pembeni ni Mdau Mr Kamala mkurugenzi wa Ukumbi huu wa Winston hall  pia ni mshauri mkubwa wa Kampuni ya MABIBO BEER.


 Vile mawasiliano yanavyo chukua kasi katika kuwajuza wadau wengine kile kinacho endelea ndani ya Winston Hall.
 Mkurugenzi wa Mabibo Beer Mzee James Lugemalira akitoa maelekezo kwa Bi Sauda na kupokea balance yake baada ya kumnunulia kinywaji cha Windhoek mmoja wa  vijana wake.

 Chief Kiumbe akitembeza mkanja kwa kila manamuzi  aliyepo Jukwaani
Mdau Mkubwa wa Band ya Extra Bongo akionyesha namna alivyoguswa na makamuzi ya Vijana wa Extra Bongo.


 Muimbaji Rama Pentagon katika kudedeza sauti yake.
Ni uzinduzi wa Windhoek Premium Lager.
 Tuache picha ijieleze!!!
 Libeneke la makamzi ya Super Nyamwela si mchezo, na kwa tarifa kutoka kwa Mkurugenzi wa Ukumbi huu ni kwamba Bonanza hili litaendelea kila siku za jumapilini kwa kiingilio cha kununua Windhoek moja tu mlangoni, na ukiwa ndani unapata offer ya kununua NNE na kuongezewa MBILI  free kwa kiasi cha sh 1,0000/=
 Show ikizidi kupamba moto
 Mwanaume kazini
 Wazee wa Windhoek Mr Emiry na Mr Daudi.
 Ally Choki akifanya utambulisho kwa Mkurugenzi wa Heinken Bar(winston hall) Ndg Kamala katikati na Chief Kiumbe kulia kama mmoja wa washikadau wa Extra Bongo.
 Mc Jobisso wa Mabibo Beer.

 Namna ile juu ya wale !!!
 Mzee James Lugemalira Mkurugenzi wa Mabibo Beer  akifuatilia kinacho na wadau  wa Windhoek
 Mzee wa Farasi Ally Choki akigani
 Wakati show ikiendelea, mashabiki wanazidi kumiminika ukumbini
 Hosea Mgohachi akicheza na nyuzi
 Mikato mbalimbali ikiendelea.
 Jobisso na Windhoek, Windhhoek na Jobissa  ,pembeni kulia unaambiwa mwanamke jivho.
 Wadada wa Kampuni ya Mabibo Beer katika kusikilzia.
 Faida ya hapo kwa papo , unanua 4 unapata 2 free.
 Mlangoni yupo Bi Sauda wa Kampuni ya Mabibo Beer.
 Cheza na Windhoek masaa 24.
 Wasasa wa kizazi kipya walikuwepo ukumbini hapa .
 Furaha nje nje kama anavyo onekana mdau pichani.
 Msanii wa kizazi kipya Underground akiwa na madancer wake jukwaani
Anaitwa Magnus ni mdau mwenzetu kutoka pande za  Nyakato kijijini, pichani akipata Windhoek na  wife wake

UZINDUZI HUU WA WINDHOEK UNAENDELEA MPAKA MWISHONI MWA MWAKA HUU
Next Post Previous Post
Bukobawadau