Bukobawadau

AJALI BARABARA KATI YA BARABARA YA LUANGISA NA JAMHURI MJINI BUKOBA

Asecdo uso kwa uso na GX 100 ni baada ya dereva wa gari kuwa sahihi kabisa barabarani ndipo akatokea Mwendesha pikipiki Maarufu mjini hapa kwa jina la Asecdo aliyeshindwa  kumudu  uendeshaji wake kutokana na  mwendo mkali
Hivi ndivyo pikipiki  yenye nambari T397 BNL ilivyoserereka na kuivaa Gari kimakosa.
Ni tukio lililotokea asubuhi ya leo Mwenye Gari nambari T928 AVF akiwa sahihi  kwa kutokea barabara ya Samuel Luangisa  ambayo ndio barabara kuu na Mwendesha pikipiki akitokea barabara ya Hindu Hosp.
MDAU TUNAPENDA KUTUMIA FULSA HII KUKUOMBA UJIUNGE NASI KATIKA SITE YETU  ILITUPATE IDADI SAHIHI YA MEMBER ,KIKUBWA NI KUJOIN KWA KUTUMIA ACCOUNT YAKO YA EMAIL KUPITIA SEHEMU HUSIKA ILIOPO PEMBENI KULIA KWA BLOG YETU

Next Post Previous Post
Bukobawadau