Bukobawadau

AJALI MBAYA YATOKEA KATI YA GARI AINA YA FUSO NA PIKIPIKI YA MATAIRI 3

 Hivi ndivyo inavyo onekana Pikipiki ya Mzee Daudi Bikopo  baada ya ajali iliyotokea majira ya saa 2;30 asubuhi  ya leo.
 Muda mchache baada ya Mzee  Daudi Bikopo ambaye ni Baba Mzazi wa Mdau Benny Bazaar  kupata ajali kwa kugongwa na Gari aina ya Fuso akiwa barabara ya Tanesco Kibeta na kupelekea mauti kumpata.
Msafara kutokea eneo la tukio.
BUKOBAWADAU BLOG tunatoa pole kwa Ndugu na wanafamilia ya Marehemu DAUDI.M. BIGIRANYEMA (BIKOPO). Mungu alitoa mungu ametwaa, jina lake lihimidiwe!
Next Post Previous Post
Bukobawadau