Bukobawadau

ALICHO KISEMA MSANII AFANDE SELE KUHUSU AKINA MAMA WOTE!!

Afande Sele The'King:

 ASEMA KUWA: "Leo nilijikuta nikiwekwa chini ya ulinzi wa nyumbani na huyu Princess mdogo ASANTESANAA, baada ya mama yake (ASHA) & dada yake princess TUNDAJEMA (TJ) kutoka kwenda dukani kufanya manunuzi ya mwisho ya mahitaji ya shule ya TJ, kwa kuwa anaripoti shuleni pale Kunduchi Girls Islamic high school, hivyo ilibidi nibebe majukumu haya makubwa na mageni "mashikolo maggeni".... kwa wakati fulani, big up kwa akina mama wote duniani kwa kutuzaa na kutulea, na zaidi katika umri mdogo kama huu.. hard work pays .. life goes on".

source;Habari na Matukio
Next Post Previous Post
Bukobawadau