BUKOBA YETU HII LEO NA HEKAHEKA ZA HAPA NA PALE
Muonekana wa Mji wa Bukoba Jumatatu ya leo na pitapita za wadau.
Maeneo ya Bank la CRDB Tawi la Bukoba.
Makutano ya barabara ya Janhuri na kashozi.
Shukrani kubwa kwa Kampuni ya MABIBO BEER WINES & SPIRITIS LTD kwa udhamini kwetu.
Muonekano wa Duka la mfanyabiashara Maarufu Mjini hapa ,Mzee Kibengwe.
Eneo la Sokoni barabara ya Jamhuri ,hali ikiwa ni tulivu kabisa.
Mchuma wa Mdau Avith Kato katika maegesho.
Vijana watata uso kwa uso na Camera ya mwanalibeneke, kushoto ni Mdau Avit Kato na OMG Kakulu.
Mmoja wa Wapenzi wakubwa wa Blog hii ,kutoka Nchini Spain ni Mdau Kemmy Mboto akiwa na Mmewe ni katika pitapita za hapa na pale ndani ya Manispaa ya Mji Bukoba.
Ni Ugeni wa Bi Teddy Mbotto kama anavyo onekana mwenye furaha.
Kampuni hii ya Mabibo Beer, Wines & Spirits Ltd, wasambazaji wa Bia ya Windhoek wanaendelea na promotion kote nchini ambapo bia hii inauzwa kwa Tsh 2500 tu, na unaponunua bia 4 kwa Tsh 10,000 hakikisha unapata bia 2 free na hii ni popote pale nchini Tanzania mpaka mwishoni mwa mwezi huu.